Muongozo wa kitaalamu wa jinsi ya kuuza bidhaa zako mtandaoni bila kuwa na Duka wala Ofisi!
KWENDA
Tuma Uthibitisho WHATSAPP via 0658145285 Nikutumie Kitabu Chako
SASA HIVI
Pia ni muongozaji na mtayarishaji wa Amani Longishu Podcast, podcast namba moja Tanzania unayopata masomo ya uuzaji na ukuzaji wa biashara online!
Amani Longishu ni mtaalamu wa biashara kwenye mitandao ya kijamii tangu mwaka 2019, nimefanikiwa kuwasaidia wafanyabiashara zaidi ya 1500 kutumia mitandao kunasa wateja kila siku
Nina Kozi inayofanya vizuri na kuwaletea matokeo makubwa wafanyabiashara wengi, kozi hiyo inaitwa UZA DEILEE wanajifunza kuuza Deilee Instagram, Facebook, Whatsapp na Tiktok!