je umechoka kukosa
Wateja Mtandaoni?

jifunze Njia Mpya Ambayo Itakupa wateja 3 hadi 15 Deilee Mtandaoni

Bila kujichosha sana

Sikiliza Hii Video Kwanza Kabla ya Kujaza Fomu Ya Kujiunga Kozi Ya UZA DEILEE

utajifunza nini Kwenye Kozi Hii Ya Uza Deilee?

Kozi Ya UZA DEILEE inamfaa Mfanyabiashara Ambaye

  • Tayari kaanza biashara ila  bado hana Duka
  • Aliyechoka kukaa dukani bila kupata wateja
  • Mwenye bajeti ya sponsored Ads Kuanzia Tsh 55,000/week Instagram na Tsh 35,000/week Facebook
  • Ambaye akaunti za matangazo hazina shida yoyote Ile 

Sikiliza Shuhuda Za Wanafunzi Wangu Kabla Ya Kujiunga!

KPJ COLLECTION, Kipindi anaanza kozi biashara yake alikua akifanya kigamboni gezaulole, matangazo ya facebook yakaanza kumtendea miujiza na akaanza kuuza pisi 50 hadi 100 kwa siku!..Kwa sasa amekua na amehamia Kariakoo na anafanya biashara hadi nchi jirani!

NGONI BEAUTY, Huyu ni mfanyabiashara na muuzaji wa vipodozi, alivyoanza biashara yake alikua ajui auzie wapi lakini kupitia kozi zangu sasa anafurahia matunda ya biashara yake!

PRECIOUS BEAUTY

Imagine upo bed rest unalea na biashara imelala, unasoma moja ya post yangu alafu unaenda kutoa ofa… then booom unapata wateja!

…Unasema ngoja nianze kozi sasa! Hiyo ni stori ya precious beauty ambaye sasa hivi ana mawakala nchi za jirani wa bidhaa zake!

ADA NI TZS 100,000/=

ANGALIZO: Jaza fomu hii kama upo tayari kuanza leo kozi! Narudia tena jaza hii fomu kama upo tayari kuanza kozi leo au kulipia kwa Awamu 2…Sio kuja whatsapp kunipigisha stori sihitaji!

MASWALI KUHUSU KOZI HII

Kozi hii ni online!

Tutatumia app ya Telegram kwa ajili ya mafunzo

Muda unajipangia wewe wa kujisomea mwenyewe na kufanya mazoezi na kuuliza maswali unapokwama.

Ndio unaruhusiwa kuuliza maswali au hata kumpigia simu mwalimu na kuongea nae.

Kama huulizi maswali na umepooza kwenye darasa langu nakuondoaa fastaa.

Ndio nitatembelea page za wanafunzi wanaofanyia kazi na kufanya mazoezi tuu na kuniambia nimefanya hiki baada ya kusoma hiki, Wewe ambaye una mpango wa kuja na kupooza na utegemee nipitie page yako hiyoo sahau!

DISCLAIMER: This site is not a part of the Facebook website or Facebook Inc. Additionally, This site is NOT endorsed by Facebook in any way. FACEBOOK is a trademark of FACEBOOK, Inc.

 

EARNINGS DISCLAIMER: We don’t believe in “get rich” programs – only in hard work, adding value, building a real and professional career, and serving others with excellence and constancy. Our programs are intended to help you increase your knowledge and to make a difference in the world.

 

The business model I talked about on this page “involves selling physical products online” and I want to teach you how I do it.


This is not a get rich quick scheme… If you’re not okay with my transparency, please close this page.