Kupata comments nyingi kwenye mtandao wa instagram ni moja ndoto ya kila muandaa maudhui kwenye mtandao huo. Kuna wanaoweza kuchapisha maudhui yao na kupata mafuriko ya comments(maoni) muda mchache baada ya kuchapisha, na kuna ambao ni ngumu kwao kupata maoni kwenye machapisho yao.
Njia 7 za kupata comments nyingi instagram
1. Wambie watoe maoni kwenye machapisho yako
Wambie waache maoni kwenye chapisho lako, maana mara nyingi watu hawawezi kuacha maoni kwenye kile kitu ulichokichapisha kama hujawambia wafanye hivyo. Wambie watag marafiki zao wanaowapenda au wana mtazamo gani kuhusu ulichokichapisha.
2. Waulize wafuasi wako maswali kwenye chapisho lako
Kama hujawauliza swali hawataweza kuacha maoni yao kwenye chapisho lako,Wewe kama mfanyabiashara jijengee tabia ya kuwauliza wafuasi wako maswali, mfano ungekua wewe ungefanyeje? Ni sawa kufanya hivi? Na mengineyo ambayo yanayo chochea watu kuacha maoni
3. Onyesha upekee wako
Kuwa wa kipekee inategemea na kitu ambacho unakifanya au jinsi unavyojiwakilisha kwenye mtandao wa instagram kupitia picha, video au graphics zako. Ubunifu wakko ndio utakaowafanya watu wabaki na kuganda kwenye ukurasa wako wa instagram ambacho ni kitu kizuri kwenye biashara yako kwasababu attention ndio pesa kwenye ulimwengu huu wa kidigitali.
4. Refusha mazungumzo kwenye maoni yaliyotolewa
Kama mtu amaeacha comment ya ‘’Nice Post” , usiseme asante tuu na kuondoka. Muulize swali kwenye post hiyo kwamba ni nini hasa ambayo kimemgusa zaiidi maana comment yake ni nzuri ila haina mashiko. Comment yake na ya mtu mwingine aliyesema ‘’Amani nimependa dondoo ya pili, maana imeweza kunisaidia kwa kiasi kikubwa kwenye biashara yangu na naishi nayo hadi leo’’. Comment ya pili ina mashiko zaidi, kwahiyo kuanzia sasa jizoeshe kurefusha mazungumzo kwenye comment ambayo ni fupi.
5. Ungana na jumuika na kurasa zingine
Kama unataka comments kwenye ukurasa wako, lazima pia ujifunze kuacha maoni pia kwenye kurasa za watu wengie. Acha comment za ukweli kwenye kitu ambacho kimekugusa na sio unaacha comment kwasababu unataka fulani pia aweze kuacha comment kwenye ukurasa wako. Epuka kuacha comments za kutangaza biashara yako, comments za emoji tuu. Jizoeshe kuanzia sasa kuandika mistari 3 kulingana na kile kilichochpishwa na mada husika.
6. Pingana na watu wengine na kuzua mijadala
Kupingana na watu wengine ni kama zile kuchapisha kitu ambacho wewe ndio mtazamo na sio wengine wanavyojua au jinsi unavyofanya au kutatua jambo fulani. Aina hii ya maudhui inakusaidia kupata comments mbaya na nzuri na itakufundisha pia jinsi ya kukabiliana na maoni mabaya na mazuri kwenye kile unachokifanya kwenye mtandao wa instagram
7. Penda(like) maoni ya chapisho lililopita
Kama siku 3 zilizopita ulipata comments 50, baada ya kuchapisha chapisho jipya rudi kwenye chapisho la lilopita na penda(like) zile comments zilizoachwa. Kuanzia leo ukipata comment mpya ijipu ila usiilike siku hiyo hiyo,Siku ukija kupost chapisho jipya ndio ukai like ili aliyecomment apate notification kwamba umependa comment yake na itamfanya atembelee ukurasa wako na kukutana na chapisho jipya.
Je umefaidika? Share makala hii kwenye mitandao ya kijamii mingine

Table of Contents

Share Makala Hii Kwa Wengine
Pata Kitabu
Hatua kwa hatua jinsi ya kuuza bidhaa online bila duka wala ofisi
Pata Kitabu
Pata copy yako leo uanze kutengeneza pesa kwenye Instagram
ZINAZOTREND
Sababu 3 kwanini utumie facebook ads 2022
Sababu 6 kwanini haupati wafuasi wa maana