MASWALI KUHUSU KOZI HII
Kozi hii ni online!
Tutatumia app ya Telegram kwa ajili ya mafunzo
Muda unajipangia wewe wa kujisomea mwenyewe na kufanya mazoezi na kuuliza maswali unapokwama.
Ndio unaruhusiwa kuuliza maswali au hata kumpigia simu mwalimu na kuongea nae.
Kama huulizi maswali na umepooza kwenye darasa langu nakuondoaa fastaa.
Ndio nitatembelea page za wanafunzi wanaofanyia kazi na kufanya mazoezi tuu na kuniambia nimefanya hiki baada ya kusoma hiki, Wewe ambaye una mpango wa kuja na kupooza na utegemee nipitie page yako hiyoo sahau!